Swahili 1

  • ㆍISBN : 8983144734
  • ㆍPages : 428

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO?

Paul C. Jong

Kichwa cha habari cha somo ni "kuzaliwa upya tena katika Maji na Roho". Huu ni uhalisi wa somo lenyewe. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kwa uwazi zaidi kinatueleza nini maana ya kuzaliwa upya na namna ya kuzaliwa upya katika Maji na Roho kupitia Biblia. Maji yanasimama badala ya ubatizo wa Yesu katika mto Jordani. Na Biblia inasema kwamba dhambi zetu zilitwikwa kwa Yesu pale alipo batizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana alikuwa muakilishi wa wanadamu wote na uzao wa Kuhani mkuu Haruni. Haruni aliweka mikono juu ya kichwa cha mnyama wa sadaka na kumtwika dhambi zote za mwaka za wana wa Israeli katika Siku ya Upatanisho. Ni kivuli cha mambo mema yatarajiwayo. Ubatizo wa Yesu ni uakisi wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa namna ya kuwekewa mikono katika mto Yordani. Hivyo alitwikwa dhambi zote za dunia kwa ubatizo wake na alitundikwa msalabani kwa malipo ya dhambi hizo. Lakini wakristo wengi hawafahamu kwanini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno la ufunguo wa kitabu hiki, na ni sehemu ya Injili ya Maji na Roho isiyo puuzwa. Tunaweza kuzaliwa upya ikiwa tu, tutaamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.

Due to COVID-19 and disruption to international mail service
we have temporally suspended our ‘Free Print Book service’.
In the light of this situation we are not able to mail you the books at this time.
Pray that this pandemic will end soon and the resumption of the postal service.