Swahili 16

  • ㆍISBN : 9788928239382
  • ㆍPáginas : 449

Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (I)

Paul C. Jong

Mafundisho ya Toba Yanatosha Kukufanya Upate Ugonjwa wa Kiroho.
Ulimwenguni kote watu wanaogopa virusi kama vile vya SARS kwa kuwa wanaweza kufa kutokana na kuambukizwa na virusi hivyo visivyoonekana.
Vivyo hivyo, Wakristo wengi siku hizi ulimwenguni kote wanakufa kimwili na kiroho kutokana na kuathiriwa na mafundisho ya toba. Ni nani ambaye alifahamu jinsi mafundisho ya toba yalivyo potofu kiasi hicho?
Unafahamu ni nani aliyewafanya Wakristo kuangukia katika mkanganyo wa kiroho? Ni Wakristo wenye dhambi wenyewe ambao wanaendelea kutoa sala za toba kila siku ili waweze kuzisafisha dhambi zao binafsi huku wakidai kuwa wanamwamini Yesu Kristo kuwa ni Mwokozi wao.
Hivyo unapaswa kupokea ondoleo la dhambi zako kwa kuliamini Neno la injili ya maji na Roho ambalo kwa asili ndilo ambalo Mungu alitupatia. Haupaswi kuipoteza nafasi hii yenye baraka ya kuweza kuzaliwa tena upya. Sisi sote tunapaswa kukombolewa toka katika mkanganyo wa kiroho kwa kuuamini Ukweli wa injili ya maji na Roho. Tunapaswa kuiangalia nuru ya Ukweli ambayo ilikuja kupitia injili ya maji na Roho, na nuru hiyo ilikuja baada ya kuyatoroka mashimo ya mkanganyo wa kiroho.

Audiolivro
undefined
Devido ao COVID-19 e à interrupção do Serviço de Correio Internacional,
suspendemos temporariamente o nosso 'Serviço de Impressão Gratuita de Livros'.
Diante dessa situação, não podemos enviar os livros para você neste momento.
Ore para que esta pandemia termine em breve e retorne o serviço postal.