• 所有新生命宣教会 The New Life Mission 网站上的电子书和有声书均可免费下载
  • 探索以多种语言提供的全球性讲道
  • 查看我们已翻译成27种语言的网站
  • 第1卷新修订版已全新推出
Search

关于基督教信仰的常见问题解答

话题1:重生于水和圣灵

1-3. Sheria zipi zilizoletwa na Mungu?

Mungu ni wa mipango, ndiye Mungu wa kweli na hakika ndiye aliye hai. Hivyo, aliweka sheria ulimwenguni kwa sababu zifuatazo:
① Aliwapa wenye dhambi Sheria na Amri ili waokolewe kwa dhambi zao “kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria” (Warumi 3:20).
② Sheria ya pili ni Sheria ya Imani iokoayo wenye dhambi. “Sheria ya Roho wa uzima” (Warumi 8:2) inayotoa njia ya wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo mwokozi wetu (Warumi 5:1-2). Yesu alishuka ulimwenguni kuitimiza hii sheria. Alibatizwa akatoa damu yake Msalabani na akafufuka. Yesu aliweka sheria ya wokovu ili kuokoa wale wote wenye dhambi ulimwenguni.
Mungu aliweka Sheria ya Imani kwa wale tu wenye kuamini wokovu utokanao kwa maji na Roho. Yeyote atakaye okolewa na kuwa mwana wa Mungu yampasa kwanza kuamini Sheria hii ya Imani ambayo Mungu ameitoa. Ndiyo pekee njia ya kuokoka. Kwa haya, ameruhusu njia ya kwenda mbinguni kwa wale wenye kuamini kuzaliwa kiroho katika kweli tokana na sheria hii.
The New Life Mission

参加我们的调查

您是如何了解到我们的?