Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi

Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (Ⅰ)
  • ISBN8983143045
  • Kurasa373

Kiswahili 5

Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (Ⅰ)

Rev. Paul C. Jong

YALIYOMO
 
Dibaji 

SURA YA 1
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1 
2. Haki ya Mungu iliyo dhihirishwa katika Injili (Warumi 1:16-17) 
3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17) 
4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18) 
5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25) 

SURA YA 2
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2 
2. Wale wenye kuidharau Neema ya Mungu (Warumi 2:1-16) 
3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29) 

SURA YA 3
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 3 
2. Wokovu toka dhambini ni kwa njia ya imani tu! (Warumi 3:1-31) 
3. Je, unamshukuru Mungu kwa ajili ya Bwana? (Warumi 3:10-31) 

SURA YA 4
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 4 
2. Wale wapokeao Baraka za Mbinguni kwa Imani (Warumi 4:1-8) 

SURA YA 5
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 5 
2. Kwa njia ya Mtu Mmoja (Warumi 5:14) 

SURA YA 6
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 6 
2. Maana halisi ya ubatizo wa Yesu (Warumi 6:1-8) 
3. Vitoeni viungo vyenu kuwa silaha za haki (Warumi 6:12-19) 
 
Injili ya maji na Roho ni haki ya Mungu!
Maneno katika kitabu hiki yatatosheleza kiu ya moyo wako. Wakristo wa nyakati hizi wanaendelea kuishi pasipo kufahamu suluhisho halisi la dhambi za kila siku watendazo kila kukicha.
Je, unafahamu juu ya haki ya Mungu? Nadhani utajiuliza mwenyewe juu ya swali hili na hatimaye kuamini juu ya haki ya Mungu ambayo imedhihirishwa kupitia kitabu hiki.
Haki ya Mungu imekuwa ikiandamana na Injili ya maji na Roho. Hata hivyo kama ilivyo hazina yenye thamani imekuwa ikifichwa mbali na macho ya wafuasi wa washika dini wengi kwa miongo kadhaa. Namatokeo yake watu wengi wamekuwa wakitegemea na kujigamba juu ya haki zao binafsi badala ya ile haki ya Mungu. Kwa hiyo kanuni za Kikristo zisizo na maana zimetawala imani katika mioyo ya waumini wengi huku wakidhani kwamba ndizo zenye haki ya Mungu.
Kanuni za kuchaguliwa toka asili, kuhesabiwa haki na utakaso wa awamu kwa viwango, ni mojawapo ya kanuni kuu za mafundisho ya wakristo ambayo yameleta tafrani za kimawazo na utupu ndani ya nafsi za waumini.
Lakini sasa, wakristo wengi imewapasa kurudi na kuelewa upya juu ya Mungu, kujifunza juu ya haki yake na hatimaye kuendelea na imani iliyo na uhakika.
"Bwana wetu aliye haki ya Mungu" atakupatia nafsi yako uelewa mkuu na kukuongoza katika amani. Mwandishi anapenda uhodhi baraka ya kuifahamu haki ya Mungu.
Baraka ya Mungu iwe nanyi.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB
Kitabu cha Sauti
Kitabu cha Sauti

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki