Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Injili ya Maji na Roho

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]
  • ISBN9788928261505
  • Kurasa378

Kiswahili 1

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

Rev. Paul C. Jong

YALIYOMO
 
Sehemu ya Kwanza—Mahubiri
1. Yatupasa Kwanza Kujua kuhusu Dhambi Zetu ili Kukombolewa (Marko 7:8-9, 20-23) — 19
2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23) — 37
3. Ikiwa Tunafanya Mambo Kulingana na Law(Torati), Je, Inaweza Kutuokoa? (Luka 10:25-30) — 51
4. Ukombozi wa Milele (Yohana 8:1-12) — 75
5. Ubatizo wa Yesu na Upatanisho wa Dhambi (Mathayo 3:13-17) — 109
6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12) — 161
7. Ubatizo wa Yesu Ni Ishara ya Wokovu Kwa Wenye Dhambi (1 Petro 3:20-22) — 199
8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17) — 219
 
Sehemu ya Pili—Nyongeza
1. Shuhuda za Wokovu — 289
2. Maelezo ya Ziada — 309
3. Maswali na Majibu — 343
 
 
Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa ni mwakilishi wa wanadamu wote na wa uzao wa Kuhani Mkuu Haruni. Kuhani Mkuu Haruni aliiweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa kutubia makosa na kisha akazipitisha dhambi zote za mwaka mzima za Waisraeli katika huyo mbuzi wa kutubia makosa katika ile Siku ya Upatanisho. Tendo hilo ni kivuli cha mambo mazuri yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekewa mikono katika Mto Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo wake na alisulubiwa ili kulipa deni la dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno kuu katika kitabu hiki, na ni sehemu ya lazima katika Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa tena upya ikiwa tu tutauamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB
Kitabu cha Sauti
Kitabu cha Sauti

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki