Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Roho Mtakatifu

Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu
  • ISBN8983145218
  • Kurasa380

Kiswahili 3

Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu

Rev. Paul C. Jong

YALIYOMO
 
Mwanzo

SEHEMU YA KWANZA-MAHUBIRI
1. Roho Mtakatifu Hufanya kazi kupitia ahadi ya Neno la God (Matendo 1:4-8) 
2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24) 
3. Mlimpokea Roho Mtakatifu mlipoamini? (Matendo 19:1-3) 
4. Wale walio na imani sawa na Mitume (Matendo 3:19) 
5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10) 
6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12) 
7. Injili iliyo njema inayowezesha Roho Mtakatifu kukaa ndani ya wanao amini (Isaya 9:6-7) 
8. Kupitia nani maji ya uzima ya Roho Mtakatifu hutiririka? (Yohana 7:37-38) 
9. Injili ya ubatizo wake iliyo tutakasa (Waefeso 2:14-22) 
10. Tembea katika Roho! (Wagalatia 5:16-26, 6:6-18) 
11. Kutunza maisha yaliyo na ujazo wa Roho Mtakatifu ndani yako (Waefeso 5:6-18) 
12. Kuishi Maisha ya Ujazo wa Roho Mtakatifu (Tito 3:1-8) 
13. Kazi na vipawa vya Roho Mtakatifu (Yohana 16:5-11) 
14. Ipi toba ya kweli katika kumpokea Roho Mtakatifu? (Matendo 2:38) 
15. Utaweza kupokea ujazo wa Roho Mtakatifu pale utakapo elewa kweli tu (Yohana 8:31-36) 
16. Mikakati ya wanao mpokea Roho Mtakatifu (Isaya 61:1-11) 
17. Yatupasa tuwe na imani na tumaini katika Roho Mtakatifu (Warumi 8:16-25) 
18. Ukweli uongozao wanao amini kujazwa Roho Mtakatifu (Yoshua 4:23) 
19. Injili njema Iliyo pasua pazia la Hekalu (Mathayo 27:45-54) 
20. Mtu aliye na uwepo wa Roho Mtakatifu ndani yake ndiye aongozaye wengine katika kumpokea Roho Mtakatifu (Yohana 20:21-23) 

SEHEMU YA PILI-MAELEZO YA ZIADA
1. Shuhuda za Wokovu 
2. Maswali na Majibu 
 
 
Katika Ukristo nyakati hizi, mojawapo ya mambo yanayozungumziwa mara nyingi ni kuhusiana na habari za "wokovu toka dhambini" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu". Hata hivyo ni watu wachache walio na ufahamu ulio sahihi wa mambo haya mawili, ingawa ukweli ni kwamba haya ni mabo mawili muhimu kuhusiana na maswala ya Ukristo. Mbaya ni nini, bado hatujaweza kupata maandiko yanayo tufunza kwa uwazi juu ya mambo haya yaliyo tajwa hapo juu. Wapo watunzi wa vitabu wa Kikristo walio wengi wakitukuza karama za Roho Mtakatifu au kuelezea maisha ya kujazwa na Roho. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anaye thubutu kushughulika na swali la msingi,nalo ni "Kwa namna gani anaye amini ataweza kumpokea Roho Mtakatifu kwa uhakika?" Kwanini? Ukweli wa kushangaza ni kwamba hawajaweza kuandika kwa viwango vilivyo kamili kwa sababu hawakuweza kuwa na ufahamu ulio kamili juu ya hili. Kama vili Nabii Hosea alipo paza sauti na kusema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa", kwa nyakati hizi si wakristo wachache wanao vutwa katika ushabiki wa kidini, wakitegemea kumpokea Roho Mtakatifu. Huamini kwamba wataweza kumpokea Kumpokea Roho Mtakatifu baada ya kufikia kiwango cha hisia kali na mashamusham. Lakini si swala la kutia chumnvi tukisema kwamba kinacho itwa imani na watu hawa ndicho kinacho fanya Ukristo udharaulike na hata kuonekana kama mojawapo tu ya dini mfano Shama (Shamanism), na ukereketwa wa aina hii unatoka na Shetani
Mtunzi, Mchungaji Paul C. Jong huthubutu siku zote kutangaza ukweli. Hujihusisha na maswala yaliyo muhimu kwa kiwango cha kutosha, ambacho wengi wa watunzi wa vitabu vya kiroho wamekwepa kwa muda mrefu. Kwanza amefafanua maana ya "kuzaliwa upya mara ya pili" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu" na kuelezea uhusiano usio kwepeka kati ya mambo yaha mawili ya ngozo za msingi. Na ndipo basi akachukua maelezo ya kina kwa pamoja kuhusiana na Roho Mtakatifu, kuanzia "namna ya utambuzi war oho" kuelekea "namna ya kuishi maisha ya ujazo wa Roho". Kwa habari zaidi mwandishi anakushauri uchunguze yaliyomo katika kitabu hiki ambayo yamewekwa katika kurasa za tovuti hii.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB
Kitabu cha Sauti
Kitabu cha Sauti

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki