Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi

Haki ya God Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya God (Ⅱ)
  • ISBN8983148381
  • Kurasa461

Kiswahili 6

Haki ya God Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya God (Ⅱ)

Rev. Paul C. Jong

YALIYOMO
 
Dibaji 

SURA YA 7
1. Utangulizi Kwa Sura ya 7 
2. Kiini cha Imani ya Paulo: Ungana na Kristo Baada ya Kuifia Dhambi (Warumi 7:1-4) 
3. Sababu Inayotufanya Tumsifu Bwana (Warumi 7:5-13) 
4. Miili Yetu Ambayo Inautumikia Mwili Tu (Warumi 7:14-25) 
5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25) 
6. Tumsifu Bwana, Mwokozi wa Wenye Dhambi (Warumi 7:14-8:2) 

SURA YA 8
1. Utangulizi Kwa Sura ya 8 
2. Haki ya God, Utimilifu wa Hitaji la Sheria Kwa Mwenye Haki (Warumi 8:1-4) 
3. Mkristo ni Nani? (Warumi 8:9-11) 
4. Kuwa na Mawazo ya Kimwili ni Kifo, Bali Kuwa na Mawazo ya Kiroho ni Uzima na Amani (Warumi 8:4-11) 
5. Kutembea Katika Haki ya God (Warumi 8:12-16) 
6. Wale Waurithio Ufalme wa God (Warumi 8:16-27) 
7. Kuja Kwa Bwana Mara ya Pili na Ufalme wa Milenia (Warumi 8:18-25) 
8. Roho Mtakatifu Anayewasaidia Wenye Haki (Warumi 8:26-28) 
9. Vitu Vyote Vinafanya Kazi Pamoja Kwa Ajili ya Mema (Warumi 8:28-30) 
10. Mafundisho ya Kidini Yenye Makosa (Warumi 8:29-30) 
11. Upendo wa Milele (Warumi 8:31-34) 
12. Ni Nani Anayeweza Kudiriki Kusimama Kinyume Nasi? (Warumi 8:31-34) 
13. Ni Nani Atakayewatenga Wenye Haki na Upendo wa Kristo? (Warumi 8:35-39) 

SURA YA 9
1. Utangulizi Kwa Sura ya 9 
2. Ni Lazima Tufahamu Kuwa Kuchaguliwa Tangu Asili Kulipangwa Ndani ya Haki ya God (Warumi 9:9-33) 
3. Je, Ni Makosa Kwa God Kumpenda Yakobo? (Warumi 9:30-33) 

SURA YA 10
1. Utangulizi Kwa Sura ya 10 
2. Imani ya Kweli Huja Kwa Kusikia (Warumi 10:16-21) 

SURA YA 11
1. Je, Waisraeli Wataokolewa? 

SURA YA 12
1. Zifanye Upya Akili Zako Mbele za God 

SURA YA 13
1. Ishi Kwa Ajili ya Haki ya God 

SURA YA 14
1. Msihukumiane 

SURA YA 15
1. Hebu Tuihubiri Injili Katika Ulimwengu Wote 

SURA YA 16
1. Salimianeni 
 
 
Haki ya God ipo wazi na ni tofauti kabisa na haki za wanadamu. Haki ya God imefunuliwa katika injili ya maji na Roho ambayo ilitimizwa kwa ubatizo wa Yesu toka kwa Yohana na damu yake Msalabani. Tunapaswa kurudi katika imani inayoamini katika haki ya God kabla hatujachelewa. Je, unafahamu ni kwa nini ilimpasa Yesu kubatizwa na Yohana Mbatizaji? Ikiwa Yohana asingelimbatiza Yesu, basi dhambi zetu zingekuwa hazikupitishwa kwa Yesu. Yohana Mbatizaji alikuwa ndiye mkuu kuliko wanadamu wote, na ule ubatizo ambao alimpatia Yesu ulikuwa ni sharti muhimu la God ili kuweza kuzipitisha dhambi zetu toka kwetu kwenda kwa Yesu. Yesu alibatizwa ili kuzibeba dhambi zote za ulimwengu katika mabega yake, kisha aliimwaga damu yake Msalabani ili kulipa mshahara wa dhambi hizo zote. Mambo haya yote yamebadilisha kikamilifu uelewa wangu wa zamani juu ya kuzaliwa tena upya wakati nilipokuwa nikifahamu juu ya damu ya Msalaba tu. Kwa sasa God ametufundisha juu ya haki ya God jinsi ilivyo ili kwamba tuweze kufahamu na kuamini kikamilifu katika haki yake. Ninamshukuru Bwana kwa baraka hizi zote.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB
Kitabu cha Sauti
Kitabu cha Sauti

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki