Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Komentare na Mahubiri Juu ya Kitabu cha Ufunuo - JE, NYAKATI ZA MPINGA KRISTO, KUFIA-DINI, KUNYAKULIWA NA UFALME WA MILENIA ZINAKUJA? (Ⅱ)
  • ISBN9788928209972
  • Kurasa471

Kiswahili 8

Komentare na Mahubiri Juu ya Kitabu cha Ufunuo - JE, NYAKATI ZA MPINGA KRISTO, KUFIA-DINI, KUNYAKULIWA NA UFALME WA MILENIA ZINAKUJA? (Ⅱ)

Rev. Paul C. Jong

YALIYOMO
 
Dibaji 

SURA YA 8 
1. Matarumbeta Yanayoyatangaza Mapigo Saba (Ufunuo 8:1-13) 
2. Je, Mapigo ya Matarumbeta Saba ni Halisi?

SURA YA 9 
1. Pigo Toka Shimo Lisilo na Mwisho (Ufunuo 9:1-21) 
2. Uwe na Imani Imara Katika Nyakati za Mwisho 

SURA YA 10
1. Je, Unafahamu Wakati wa Kunyakuliwa ni Lini? (Ufunuo 10:1-11) 
2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini? 

SURA YA 11
1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19) 
2. Wokovu wa Watu wa Israeli 

SURA YA 12
1. Kanisa la God Ambalo Litadhuriwa Sana Hapo Baadaye (Ufunuo 12:1-17) 
2. Pokea Kuuawa kwa Kuifia-Dini Kwa Imani Thabiti 

SURA YA 13
1. Kutokea Kwa Mpinga Kristo (Ufunuo 13:1-18) 
2. Kuonekana Kwa Mpinga Kristo 
 
SURA YA 14
1. Sifa za Wafia-dini Waliofufuka na Kunyakuliwa (Ufunuo 14:1-20) 
2. Watakatifu Wafanye Nini Mara Mpinga Kristo Atakapoonekana? 

SURA YA 15
1. Watakatifu Wanaoyasifia Matendo ya Bwana ya Kushangaza Angani (Ufunuo 15:1-8) 
2. Kituo cha Kugawa Hatma ya Milele 

SURA YA 16
1. Mwanzo wa Mapigo ya Mabakuli Saba (Ufunuo 16:1-21) 
2. Unachopaswa Kukifanya Kabla ya Kumiminwa Kwa Mabakuli Saba Ni… 

SURA YA 17
1. Hukumu ya Kahaba Akaaye Katika Maji Mengi (Ufunuo 17:1-18) 
2. Umakini Wetu Uzingatie Mapenzi ya God

SURA YA 18
1. Ulimwengu wa Babeli Umeanguka (Ufunuo 18:1-24) 
2. “Tokeni Kwake, Enyi Watu Wangu, Wala Msipokee Mapigo Yake” 

SURA YA 19
1. Ufalme Utakaomilikiwa Na Mwenyezi (Ufunuo 19:1-21) 
2. Ni Wenye Haki Tu Ndio Wanaoweza Kusubiria Kurudi Kwa Kristo Katika Tumaini 

SURA YA 20
1. Joka Atafungwa Katika Shimo la Kuzimu Lisilo na Mwisho (Ufunuo 20:1-15) 
2. Tutawezaje Kupita Toka Mautini Kwenda Uzimani? 

SURA YA 21
1. Mji Mtakatifu Unaoshuka Toka Mbinguni (Ufunuo 21:1-27) 
2. Ni Lazima Tuwe na Imani Iliyothibitishwa na God 

SURA YA 22
1. Mbingu na Nchi Mpya, Ambapo Maji ya Uzima Yanatiririka (Ufunuo 22:1-21) 
2. Uwe na Furaha na Thabiti Katika Tumaini la Utukufu 

Kiambatanisho
1. Maswali & Majibu 
 
 
Wakristo wengi siku hizi wanaiamini nadharia ya kunyukuliwa kabla ya dhiki. Kwa kuwa wanaiamini nadharia hii potofu, inayowaeleza kuwa watanyakuliwa kabla ya kuja kwa ile Dhiki Kuu ya miaka saba, ndio maana wanaendelea kuishi maisha ya kidini ya kivivu yanayojengwa katika haki binafsi.
Lakini kunyakuliwa kwa watakatifu kutatokea baada ya mapigo yatakayotokana na tarumbeta la saba, yaani hadi pigo la sita litakapokuwa limemiminwa- yaani, kunyakuliwa kutatokea baada ya kuonekana kwa Mpinga Kristo katikati ya machafuko ya kidunia, wakati ambapo watakatifu waliozaliwa tena upya watakuwa wameuawa kwa kuifia-dini, na wakati ambapo tarumbeta la saba litakapokuwa limeshapigwa. Ni wakati huo ndipo Yesu atakaposhuka toka mbinguni, na hapo ndipo ufufuo na kunyakuliwa kwa waliozaliwa tena upya kutakapotokea (1 Wathesalonike 4:16-17).
Siku hii, kila mtu katika ulimwengu huu atakuwa amesimama katika njia panda kuhusiana na hatma yake ya milele. Watakatifu waliozaliwa tena upya kwa kuamini katika "injili ya maji na Roho" watafufuliwa na kunyakuliwa, kisha watakuwa warithi wa Ufalme wa Milenia na Ufalme wa Mbinguni wa milele, lakini wenye dhambi ambao hawakuweza kushiriki katika ufufuo huu wa kwanza watakutana na adhabu kuu ya mabakuli saba yatakayomiminwa na God na kisha watatupwa katika moto wa milele wa kuzimu.
Hivyo, ni lazima sasa uachane na nadharia potofu za kidini pamoja na tamaa na miiko potofu ya ulimwengu huu, na kisha uingie katika Neno la God la kweli. Ninatumaini na kuomba ili kwamba kwa kusoma mfululizo wa vitabu vyangu juu ya injili ya maji na Roho, basi ninyi nyote mtabarikiwa kwa dhambi zenu zote kuoshelewa mbali, na kisha kuupokea ujio wa Bwana wetu mara ya pili pasipo hofu.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB
Kitabu cha Sauti
Kitabu cha Sauti

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki