Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Injili Kulingana na Mathayo

MAHUBIRI KATIKA INJILI YA MATHAYO (Ⅱ) - JE! TULIAMINI NINI KUPATA ONDOLEO LA DHAMBI
  • ISBN9788928239061
  • Kurasa482

Kiswahili 13

MAHUBIRI KATIKA INJILI YA MATHAYO (Ⅱ) - JE! TULIAMINI NINI KUPATA ONDOLEO LA DHAMBI

Rev. Paul C. Jong

Yaliyomo
 
Dibaji 

SURA YA 9
1. Mwamini Yesu Kristo Aliyekuja Kama God Wetu (Mathayo 9:1-13) 
2. Yesu Aliyekuja Kutuokoa Tuliopooza Kiroho (Mathayo 9:1-13) 
3. Imani ya Kidini Dhidi ya Imani Katika Nguvu ya Injili ya Maji na Roho (Mathayo 9:1-17) 
4. Watenda Kazi wa God (Mathayo 9:35-38) 

SURA YA 10
1. Nguvu ya Kuponya Magonjwa Yote Inapatikana Katika Injili ya Maji na Roho (Mathayo 10:1-16) 
2. Hebu Tuishi Kama Watenda Kazi wa God (Mathayo 10:1-8) 

SURA YA 11
1. Yohana Mbatizaji Hakushindwa (Mathayo 11:1-14) 

SURA YA 12
1. Yesu Alisema Kwamba Anataka Rehema na Wala Si Sadaka (Mathayo 12:1-8) 
2. Unataka Kuelewa Juu ya Kumkufuru Roho Mtakatifu Kulivyo? (Mathayo 12:9-37) 
3. Dhambi Isiyosameheka na Jukumu la Waliozaliwa Tena Upya (Mathayo 12:31-32) 
4. Shetani Anataka Kuishi Mahali Gani? (Mathayo 12:43-50) 

SURA YA 13
1. Mfano wa Aina Nne za Mashamba (Mathayo 13:1-9) 
2. Umeruhusiwa Kuzifahamu Siri za Ufalme wa Mbinguni (Mathayo 13:10-23) 
3. Ufalme wa Mbinguni Umefanana na Hazina Iliyofichwa Katika Shamba (Mathayo 13:24-30) 
4. Nguvu ya Injili ya Maji na Roho (Mathayo 13:31-43) 
5. Ufalme wa Mbinguni Umefanana na Hazina Iliyofichwa Katika Shamba (Mathayo 13:44-46) 
6. Ufalme wa Mbinguni ni Kama Nyavu ya Kuvulia Iliyotupwa Baharini Kisha Ikakusanya Kila Aina ya Samaki (Mathayo 13:47-52) 
7. Kwa Hakika Mariamu Hana Uungu (Mathayo 13:53-58) 
 
 
Mtume Mathayo anatueleza kuwa Neno la Yesu lilielezwa kwa kila mtu katika ulimwengu huu, hii ni kwa sababu Mathayo alimwona Yesu kuwa ni Mfalme wa wafalme. Kwa sasa, Wakristo katika ulimwengu mzima ambao wamezaliwa tena upya kwa kuamini katika injili ya maji na Roho wanatamani sana kuula mkate wa uzima. Lakini ni vigumu kwa wao kuwa na ushirikiano nasi katika injili ya kweli, kwa sababu wapo mbali sana na sisi. Kwa hiyo ili kutimiza mahitaji ya kiroho ya watu hawa wa Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme, basi mahubiri katika kitabu hiki yameandaliwa kama mkate mpya wa uzima ili kuboresha ukuaji wao wa kiroho. Mwandishi anatangaza kuwa wale waliokwishapokea ondoleo la dhambi zao kwa kuamini katika Neno la Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme, ni lazima wajilishe Neno lake halisi ili waweze kuilinda imani yao na kuyaimarisha maisha yao ya kiroho. Kitabu hiki kitawapatia mkate wa kweli wa uzima kwenu nyote ambao mmefanyika kuwa watu wa ufalme wa Mfalme kwa imani. Kwa kupitia Kanisa na watumishi wake, God ataendelea kukupatia mkate huu wa uzima. Baraka za God na ziwe juu yao wale wote waliozaliwa upya kwa maji na kwa Roho, na ambao wanatamani kuwa na ushirika wa kweli wa kiroho pamoja nasi katika Yesu Kristo.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki