Search

VITABU VILIVYOCHAPISHWA BURE,
VITABU NA VITABU VYA AUDIO

Waraka wa Paulo Mtume kwa Wagalatia

Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)
  • ISBN8983145692
  • Kurasa362

Kiswahili 17

Mahubiri kupitia Wagalatia - KUTOKA TOHARA YA MWILI HADI MAFUNDISHO YA TOBA (II)

Rev. Paul C. Jong

Yaliyomo
 
Utangulizi 

SURA YA 4
1. Sisi Ndio Hatutaweza kuonja Mauti kamwe, Tutafurahia Maisha ya Milele (Wagalatia 4:1-11) 
2. Je! Wewe na Mimi Tuna Imani Sawa na Ile ya Abraham? (Wagalatia 4:12-31) 
3. Usigeukie Tena Mambo Dhaifu na yenye Unyonge Ya Ulimwengu (Wagalatia 4:1-11) 
4. Sisi ni Warithi wa God (Wagalatia 4:1-11) 

SURA YA 5
1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16) 
2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6) 
3. Kuishi Kwa Matakwa Ya Roho Mtakatifui (Wagalatia 5:7-26) 
4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26) 
5. Tembea Katika Matakwa Ya Roho (Wagalatia 5:16-26) 
6. Matunda ya Roho Mtakatifu (Wagalatia 5:15-26) 
7. Usiishi kwa Utukufu Usio na Maana, Bali Tafuta Ufalme wa God (Wagalatia 5:16-26) 

SURA YA 6
1. Shiriki Katika Kazi Zote Njema Za God (Wagalatia 6:1-10) 
2. Lazima Tutupilie, Mbali Imani Ya Sala za Toba na Kutambua Kuwa Ni Uwongo (Wagalatia 6:1-10) 
3. Hebu Tumtumikie God Kwa Kubebeana Mizigo Yetu Kila Mmoja (Wagalatia 6:1-10) 
4. Bwana Ametuokoa Sio Kwa Damu Yake tu Msalabani, bali Kupitia Injili Ya Maji na Roho (Wagalatia 6:11-18) 
5. Hebu na Tuhubiri Injili ya Maji na Roho Kwa Ufahamu Sahihi (Wagalatia 6:17-18) 
 
 
Mafundisho ya Toba Yanatosha Kukufanya Upate Ugonjwa wa Kiroho.

Ulimwenguni kote watu wanaogopa virusi kama vile vya SARS kwa kuwa wanaweza kufa kutokana na kuambukizwa na virusi hivyo visivyoonekana.
Vivyo hivyo, Wakristo wengi siku hizi ulimwenguni kote wanakufa kimwili na kiroho kutokana na kuathiriwa na mafundisho ya toba. Ni nani ambaye alifahamu jinsi mafundisho ya toba yalivyo potofu kiasi hicho?
Unafahamu ni nani aliyewafanya Wakristo kuangukia katika mkanganyo wa kiroho? Ni Wakristo wenye dhambi wenyewe ambao wanaendelea kutoa sala za toba kila siku ili waweze kuzisafisha dhambi zao binafsi huku wakidai kuwa wanamwamini Yesu Kristo kuwa ni Mwokozi wao.
Hivyo unapaswa kupokea ondoleo la dhambi zako kwa kuliamini Neno la injili ya maji na Roho ambalo kwa asili ndilo ambalo God alitupatia. Haupaswi kuipoteza nafasi hii yenye baraka ya kuweza kuzaliwa tena upya. Sisi sote tunapaswa kukombolewa toka katika mkanganyo wa kiroho kwa kuuamini Ukweli wa injili ya maji na Roho. Tunapaswa kuiangalia nuru ya Ukweli ambayo ilikuja kupitia injili ya maji na Roho, na nuru hiyo ilikuja baada ya kuyatoroka mashimo ya mkanganyo wa kiroho.
Kupakua kitabu mtandaoni
PDF EPUB
Kitabu cha Sauti
Kitabu cha Sauti

Vitabu vinavyohusiana na kichwa hiki