Maswali ya kila mara juu ya Imani ya Kikristo
Somo la 1: Kuzaliwa mara ya pili kwa maji na kwa Roho
1-1. Sababu gani Mwana wa Mungu kuwa mwanadamu?
Alikuwa mwanadamu ili aweze kuwa Mwokozi na kutuokoa sisi sote wenye dhambi toka dhambini na hukumuni katika jehanamu.