Search

Maswali ya kila mara juu ya Imani ya Kikristo

Somo la 1: Kuzaliwa mara ya pili kwa maji na kwa Roho

1-18. Tunapata nini pale tunapomwamini Yesu?

① Tunapokea msamaha wa dhambi zetu zote na kuwa wenye haki (Warumi 8:1-2).
② Tunapokea Roho wake na kuishi milele (Matendo 2:38, 1 Yohana 5:11-12).
③ Tunapokea haki ya kuwa wana wa Mungu (Yohana 1:12).
④ Tunapokea upendeleo wa kuingia Ufalme wa Mungu, Ufalme wa Mbinguni (Ufunuo 21 – 22).
⑤ Tunapokea baraka zote za Mungu (Waefeso 1:3-23).